NEWS AND EVENTS


60% Complete (warning)
  • 2025-02-24
  • Event Image

    Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Shamata Shaame Khamis

    Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Shamata Shaame Khamis, akishiriki ziara maalum ya Mhe. Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ya kutembelea katika masoko Jumbi, Mwanawerekwe na Darajani ili kusikiliza changamoto za wafanyabiashara pamoja na kuangalia bei za bidhaa katika maeneo yote ya biashara.

  • 2025-02-23
  • Event Image

    Ufunguzi wa Mradi wa Usimamizi wa Hifadhi ya Akiba ya Ufufuma-Pongwe Kuleta Manufaa kwa Misitu na Wanyamapori.

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Ali Khamis Juma, amesema kuwa kuwepo kwa Hifadhi ya Akiba ya Ufufuma-Pongwe kutaleta manufaa makubwa kwa bioanuwai ya misitu na wanyamapori, pamoja na jamii inayozunguka Hifadhi ya Kiwengwa-Pongwe.<br> <p>Aliyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Usimamizi wa Hifadhi ya Akiba ya Ufufuma-Pongwe, uliofanyika katika Ofisi za Wizara ya Kilimo, Maruhubi, Wilaya ya Magharibi A, Unguja.</p> <p>Amesema hifadhi hiyo ni eneo

  • 2025-02-21
  • Event Image

    Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Shamata Shaame Khamis, ameeleza kuwa Serikali itaendelea......

    Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Shamata Shaame Khamis, ameeleza kuwa Serikali itaendelea kuimarisha ulinzi katika misitu ya hifadhi ili isipoteze uhalisia wake lakini kuongeza kasi ya maendeleo ya sekta za Kilimo na Utalii.<br> <p> Shamata alieleza hayo wakati wa Ugawaji wa sare za kazi kwa wafanyakazi wa kitengo cha uhifadhi wa msitu wa Kiwengwa Pongwe, wilaya wa Kaskazini ‘B’, mkoa wa Kaskazini Unguja.</p> <p> Amesema hatua hiyo imetokana na azma ya Wizara

  • 2025-02-21
  • Event Image

    Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Mifugo Asha Zahran Mohammed akimpa huduma ya chanjo mbwa....

    Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Mifugo Asha Zahran Mohammed akimpa huduma ya chanjo mbwa, ikiwa ni Uzinduzi wa Zoezi la Chanjo dhidi ya kichaa cha mbwa, hafla hiyo imefanyika Ndijani mseweni Wilaya ya kati Unguja.