Waziri Suleiman Masoud Makame. Akutana na Uongozi wa MB Homes Kujadili Uwekezaji katika Kilimo na Mifugo Zanzibar
<p>Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Mhe. Suleiman Masoud Makame amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa MB Homes Huseyin Buyukballi katika...
Serikali Yazindua Mafunzo ya Siku 20 Kukabiliana na Wadudu na Maradhi ya Mazao Zanzibar
<p>Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Mhe. Suleiman Masoud Makame afunguwa Mafunzo ya utibabu wa minaza,Matunda na Mboga Mboga kwa...
Naibu Waziri wa Kilimo Dkt. Salum Soud Hamed Akutana na JICA Kujadili Ushirikiano Mpya wa Miradi ya Kilimo na Mafunzo kwa Maafisa
<p>Naibu Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Mhe. Dkt. Salum Soud Hamed amefanya mazungumzo na Mwakilishi kutoka Ofisi ya JICA...
Waziri wa Kilimo Mhe. Suleiman Makame Akagua Maendeleo ya Sekta ya Kilimo, Umwagiliaji, Misitu na Mifugo Kaskazini Unguja
<p>Waziri wa Kilimo, Umwangiliaji, Maliasili na Mifugo Mhe. Suleiman Masoud Makame amefanya ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ya kilimo cha...
Naibu Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Dkt Salum Soud Hamed
<p>Naibu Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Dkt Salum Soud Hamed, akifungua Mafunzo ya Shamba darasa ya Zanzibar Green Culture...
Kikao cha makatibu wakuu na wakurugenzi watendaji kimefanyika katika Hoteli ya Verde
<p>Kikao cha makatibu wakuu na wakurugenzi watendaji kimefanyika katika Hoteli ya Verde, Maruhubi Zanzibar, kikiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya...

