Wakala wa Serikali wa Huduma za Matrekta na Zana za Kilimo ni miongoni mwa Taasisi kumi na nne za Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi katika kipindi cha pili cha awamu ya saba inayoongozwa na Mheshimiw
MAJUKUMU YA WAKALA
Kurahisisha upatikaji na matumizi ya zana za kisasa za kilimo zitakazopelekea kuongeza ufanisi katika uzalishaji wa mazao ya kilimo.
Kuzingatia malengo na mikakati ya muda mrefu ya Serikali ya Mapind