BACKGROUND
Historia ya Maendeleo ya Kilimo Zanzibar imeanza katika mwaka 1895 wakati Serikali ya Zanzibar Chini ya Himaya ya Uingereza ilipoundwa Idara ya kilimo iliyoitwa Idara ya Ziraa na Makao Makuu yake y
MISSION
DHIMA YA WIZARA YA KILIMO
Kutayarisha na kusimamia kazi na miradi ya kilimo, sambamba na matumizi ya teknolojia za kisasa, kuongeza uzalishaji na tija kupitia mpango endelevu ili kuwezesha uzalishaji, kutoa huduma zitakazosaidia wakulima pamoja na kuhakikisha matumizi endelevu ya maliasili.
VISION
DIRA YA WIZARA YA KILIMO NA MALIASILI
Dira kuu ya Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar ni kuleta maendeleo endelevu ya sekta ya kilimo na kukifanya kiwe cha kisasa na tija kwa ajili ya faida za kiuchumi, kijamii na kimazingira ifikapo mwaka 2025.
CORE VALUES
LENGO KUU LA WIZARA
Kuimarisha utendaji na usimamizi wa sekta kwa kuongeza wigo wa mapato, uzalishaji na tija kwa mazao ya chakula, biashara, mifugo na kushajiisha uwekezaji katika teknolojia na miundombinu ya uzalishaji na uanzishwaji wa viwanda. Wizara pia inalenga kushajiisha uhifadhi na matumizi endelevu ya rasilimali za misitu.
Sekta ya Kilimo kwa sasa inajumuisha sekta ndogo za mazao, mifugo na misitu bado inaendelea kuwa ni muhimili mkuu wa uchumi wa Zanzibar na inatoa
ORGANIZATION STRUCTURE
