- 2025-02-19
-
WAZIRI WA KILIMO UMWAGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO MHE. SHAMATA SHAAME KHAMIS AKIKABIDHI UNIFORM KWA WAFANYAKAZI WA HIFADHI YA MSITU WA KIWENGWA KATIKA ENEO LA KIWENGWA PONGWE WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA.
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Shamata Shaame Khamis, ameeleza kuwa Serikali itaendelea kuimarisha ulinzi katika misitu ya hifadhi ili isipoteze uhalisia wake lakini kuongeza kasi ya maendeleo ya sekta za Kilimo na Utalii. Shamata alieleza hayo wakati wa Ugawaji wa sare za kazi kwa wafanyakazi wa kitengo cha uhifadhi wa msitu wa Kiwengwa Pongwe, wilaya wa Kaskazini �B�, mkoa wa Kaskazini Unguja. Amesema hatua hiyo imetokana na azma ya Wizara kuimarisha
Read More
-
N/AºC, Unable to fetch data
-
Saturday, 22nd February, 2025