Photo

Waziri wa Kilimo,Umwangiliaji,Maliasili na Mifugo Mhe shamata Shaame khamis amezindua mradi wa Mitego ya kutokomeza kunguru

Waziri wa Kilimo,Umwangiliaji,Maliasili na Mifugo Mhe shamata Shaame khamis amezindua mradi wa Mitego ya kutokomeza kunguru.kwa lengo la kupunguza idadi kubwa ya Kunguru na madhara yatokanayo na adui Kunguru kwa jamii.

Ghafla hiyo fupi ya uzinduzi ilifanyika katika ofisi za kilimo Maruhubi Zanzibar.

Mradi huo wa miaka 10 unasimamiwa na Idara ya Misitu ambapo watengenezaji wa Mitego hiyo ni kampuni ya Andrew Crow Traps Shopping Center. Inayongozwa na Meneja Andrew Wilbard .

Follow Us