Posted: 2025-12-09
Bibishamba Khadija Hamad Ali, Atoa Elimu ya Uzalishaji wa Mpunga kwa Wakulima wa Mkoani Pemba.
Description
Bibishamba khadija hamad Ali akitowa maelezo kwa Mkulima Khamis Juma Mgwali katika shamba darasa la uzalishaji wa Mpunga liopo Mlemele Shehiya ya Dodo Wilaya ya Mkoani Pemba, ambapo elimu ya kuwajengea uwezo wakulima kwa kutumia mbinu bora za kilimo cha Mpunga kupitia Mradi Himilivu wa Mifumo ya ChakulaTanzania. Ikiwa na lengo la kutoa elimu kwa wakulima 20 kujifuza mbinu za ukulima wa kilimo shadidi kwa kutumia Mbegu kidogo,Maji Kidogo Mavuno mengi ili kuleta Tija kwa Mkulima na kukuza uzalishaji wa kilimo cha Mpunga.
\r\n

