Posted: 2025-11-26
Naibu Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Dkt Salum Soud Hamed
Description
Naibu Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Dkt Salum Soud Hamed, akifungua Mafunzo ya Shamba darasa ya Zanzibar Green Culture Organisation(ZAGCO) kwa Vijana waliohitimu na wanaoendelea na masomo ya fani ya kilimo na Mifugo huko katika Viwanja vya maonesho Kizimbani Wilaya ya Magharibi A Unguja.
\r\n

