Posted: 2025-11-20
Kaimu Katibu Wizara ya Kilimo Zanzibar, Atembelea Mabonde ya Cheju na Kilombero Kukagua Maandalizi ya Kilimo cha Mpunga.
Description
Kaimu Katibu, Dkt. Mohamed Dhamir Kombo akiwa na Watendaji wa Idara ya Umwagiliaji na Wakulima katika Bonde la Cheju na Kilombero lengo ni kusikiliza changamoto za wakulima na kuangalia maandalizi ya kilimo cha Mpunga kwa Msimu huu wa Vuli na Msimu ujao wa Masika.
\r\n

