Event Details
Photo

Posted: 2025-12-09

Bibishamba Khadija Hamad Ali, Atoa Elimu ya Uzalishaji wa Mpunga kwa Wakulima wa Mkoani Pemba.

Description

Bibishamba khadija hamad Ali akitowa maelezo  kwa  Mkulima Khamis Juma Mgwali katika shamba darasa la uzalishaji wa Mpunga liopo Mlemele Shehiya ya Dodo Wilaya ya Mkoani Pemba, ambapo elimu ya  kuwajengea uwezo wakulima kwa   kutumia mbinu bora za kilimo cha  Mpunga kupitia Mradi Himilivu wa Mifumo ya ChakulaTanzania. Ikiwa na lengo la kutoa elimu kwa wakulima 20 kujifuza mbinu za ukulima wa  kilimo shadidi kwa kutumia Mbegu kidogo,Maji Kidogo Mavuno mengi  ili kuleta Tija kwa Mkulima na kukuza uzalishaji  wa kilimo cha Mpunga.

\r\n

Follow Us