Event Details
Photo

Posted: 2025-12-09

Waziri wa Kilimo Mhe. Suleiman Masoud Makame (katikati) akikagua Maendeleo ya Kilimo katika Bonde la Mlemele, Pemba

Description

Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Suleiman Masoud Makame (katikati), akiwa na Bibi shamba, Khadija Hamad Ali (kushoto) na Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (ZALIRI), Dkt. Abdalla Ibrahim Ali alipotembelea bonde la Mlemele liliopo shehia ya Dodo, wilaya ya Mkoani Pemba. Ziara hiyo ni muendelezo wa ukaguzi wa miradi na maendeleo inayotekelezwa na Wizara hiyo kupitia sekta za kilimo, mifugo na misitu, ikilenga kuimarisha mbinu za uzalishaji, upatikanaji wa pembejeo na kuongeza tija kwa wakulima wadogo.

\r\n

Follow Us