- Total Visitors: 61,430
Thursday, 11th December, 2025
Posted: 2025-12-05
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Mhe. Suleiman Masoud Makame amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa MB Homes Huseyin Buyukballi katika ofisi za kilimo Maruhubi kujadili mwongozo wa uwekezaji katika kilimo cha maua, ndizi na miradi ya mifugo. Waziri, akiongozana na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Saleh Mohamed Juma na Naibu Waziri dkt Salum Soud Hamed , alieleza maeneo ya kipaumbele ya wizara na utayari wa kutoa ushirikiano wa frusa za kilimo zilizopo nchini kwa kampuni ya MB Homes na kuwataka kuanza maandalizi ya miradi hiyo kwa kufata utaratibu wa uwekezaji uliopo kwakuwa bado mahitaji ya kuongeza uzalishaji mazao ya chakula na biashara za ndani na nje ya nchi zinahitajika kwa lengo la kuongeza kipato kwa wanchi na kukuza ajira.
\r\nFans
Followers
Followers
Subscribers