- Total Visitors: 40,985
Saturday, 22nd November, 2025
Posted: 2025-11-20
Kaimu katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Dkt Mohamed Dhamir Kombo na Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Plant bio defender Mashauri Makenda wakitiliana saini hati ya mashirikiano (MoU) kwa lengo la kujenga Mashirikiano katika Kupunguza matumizi ya kemikali ya Viatilifu hai vya Vuruga bio site na mbolea Plant lishe katika kuhakikisha Uzalishaji bora wa bidhaa na lishe Salama. Picha WKUMM.
\r\nFans
Followers
Followers
Subscribers