Bytrade  Tanzania Limited Yaitambulisha Biashara ya Pembejeo Kwa Ajili ya Kuinua Kilimo Zanzibar.
Posted: 2026-04-22

Bytrade Tanzania Limited Yaitambulisha Biashara ya Pembejeo Kwa Ajili ya Kuinua Kilimo Zanzibar.

Article Details

Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar Suleiman Masoud Makame  amefanya mazungumzo na Mkuregenzi wa Fedha wa kampuni ya Bytrade Tanzania Limited Mr Mbaraka Yahaya Mbalazi  walipofika katika ofisi za Wizara ya kilimo maruhubi  kwa ajili ya kuitambulisha biashara ya kuingiza nchini bidhaa za pembejeo , ambazo  zitatoa faida kubwa kwa wakulima wa Zanzibar katika kilimo cha mazao ya mpunga ,mboga mboga na miti mikubwa kama miembe, parachichi na ndimu.

\r\n