Posted: 2026-03-26
Wanajamii Bumbwini Mafufuni Washiriki Upandaji wa Mikoko Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia ya nchi
Article Details
Wanajamii wa Bumbwini Mafufuni wakipanda miti ya mikoko ikiwa ni miongoni mwa Mafunzo ya vitendo yaliyotolewa kupitia Mradi wa Pamoja Zanzibar Joint Program unaofahiliwa na Shirika la kimataifa la Mazingira ÙNEP) ikilenga kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia nchi kwa kurejesha mikoko katika maeneo yaliyoharibika pamoja na kulinda mazingira.
\r\n

