Posted: 2026-03-17
Waziri wa Kilimo. Umwagiliaji, Maliasili na Mifungo Mhe. Suleiman Masoud Makame Azungumzia Kampeni ya Upandaji Miti Msimu wa Masika Zanzibar.
Article Details
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Suleiman Masoud Makame, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kuhusu kampeni ya upandaji miti katika msimu wa mvua za masika zinazoendelea kunyesha, mkutano ulifanyika ukumbi wa mikutano wa ASSP Maruhubi Zanzibar.
\r\n

