Posted: 2026-02-12
Mhe. Suleiman Masoud Makame Azindua Vifaa Vipya vya Zana za Kilimo na Uzalishaji wa Sukari Kiwanda cha Mahonda
Article Details
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Mhe. Suleiman Masoud Makame, akizindua vifaa vya zana za kilimo na uzalishaji wa sukari katika Kiwanda cha Sukari Mahonda, Wilaya ya Kaskazini Unguja.
\r\n

