Posted: 2026-02-12
WAZIRI WA KILIMO, UMWAGILIAJI, MALIASILI NA MIFUGO, MHE. MAKAME ATEMBELEA KIWANDA CHA MTINDI (THE ISLAND), ZANZIBAR.
Article Details
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Mhe. Suleiman Masoud Makame, ametembelea kiwanda cha mtindi cha (The Island) kilichopo Kwa Mchina, Zanzibar, kujionea uzalishaji wa bidhaa zitokanazo na Mifugo,
\r\n\\r\\nna kupokelewa na Meneja wa kampuni hiyo, Ubwa Ali Omar. Ziara hiyo ilihudhuriwa pia na Naibu Waziri, Dkt. Salum Soud Hamed, pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mifugo, Asha Zaharan Mohamed.
\\r\\n
\r\n

