Posted: 2026-05-05
Mradi wa TFSRP Wawajengea Uwezo Maafisa Ugani Zanzibar
Description
Mradi wa Uhimilivu wa Mifumo ya Chakula (TFSRP) Zanzibar umeendesha mafunzo kwa maafisa ugani kutoka mabonde ya umwagiliaji kuhusu matumizi ya dhana za kilimo na maandalizi ya vitalu vya mkeka. Mafunzo hayo yanalenga kuongeza ubunifu katika kazi zao na kuwasaidia wakulima kujifunza mbinu za kisasa za kilimo.
\r\n

