Photo

Posted: 2026-04-22

VIONGOZI WAJADILIANA KUHUSU KUENDELEZA NA KUKUZA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA MBALIMBALI.

Description

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Judith Kapinga(Mb), akiwa pamoja na Naibu Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar, Mhe.Dkt.Salumu Soud wa Zanzibar,Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Mshamu Munde, Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.David Silinde pamoja na Viongozi wengine wakijadiliana kuhusu kuendeleza na kukuza ushirikiano katika Sekta za Viwanda,Biashara,Kilimo na Umwagiliaji,Mifugo,Maliasili na Utalii na Uchumi wa Bluu kati ya Tanzania Bara na Zanzibar Aprili 21,2026 katika Ofisi za Wizara ya Viwanda na Biashara Jijini Dodoma.

\r\n