Photo

Posted: 2026-03-26

Wanajamii Bumbwini Mafufuni Washiriki Upandaji wa Mikoko Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia ya nchi

Description

Wanajamii wa Bumbwini Mafufuni  wakipanda  miti ya mikoko ikiwa ni miongoni mwa Mafunzo ya vitendo yaliyotolewa kupitia Mradi wa Pamoja Zanzibar Joint Program unaofahiliwa na Shirika la kimataifa la Mazingira ÙNEP) ikilenga kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia nchi kwa kurejesha  mikoko  katika maeneo yaliyoharibika pamoja na kulinda mazingira.

\r\n