Photo

Posted: 2026-02-13

Wizara ya Kilimo Yasaini Makubaliano ya Ushirikiano wa Mradi wa Mageuzi ya Uzalishaji wa Maziwa ya Ng\\\'ombe unaozingatia Mabadiliko ya Tabia ya Nchi

Description

Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo kupitia Mradi wa Mageuzi wa uzalishaji  Ngo'mbe  wa  Maziwa unaozingatia mabadiliko ya tabia ya nchi, umesaini makubaliano Rasmin  na wadau Chuo cha Taifa (SUZA),Jumuiya ya Wafugaji (JUMAVEZA),Wakala wa Barabara  (ZanRoad),Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) na Tasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS). Hafla ya utiaji saini imefanyika Ofisi za Wizara Maruhubi na kushuhudiwa na Waziri Mhe. Suleiman Masoud Makame, Naibu Waziri Dkt. Salum Soud Hamed na Katibu Mkuu Saleh Mohamed Juma. Mradi huo unafadhiliwa na IFAD  ukilenga kuboresha ufugaji wa maziwa kwa njia rafiki kwa mazingira, kuongeza uzalishaji na kuinua kipato pamoja na lishe kwa wafugaji na jamii.

\r\n\r\n

\\r\\n

\r\n