Event Details
Photo

Posted: 2026-05-11

WAZIRI WA KILIMO MH. SULEIMAN MASOUD MAKAME AFUNGUA KIKAO CHA UHAKIKI WA RASIMU YA TAARIFA YA HAKI ZA BINADAMU ZANZIBAR

Description

Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar, Mhe Suleiman Masoud Makame  akimuwakilisha Waziri wa nchi afisi ya Rais ,Katiba ,Sheria ,Utumishi na Utawala bora  amefungua  kikao cha wadau wa Zanzibar cha kupitia na Kuhakiki rasimu ya taarifa ya hali ya haki za binaadamu katika mzunguko wa nne wa mfumo wapitio ya kipindi maalum  kilichofanyika Ukumbi wa Hotel ya Madinatul bahar Mbweni Zanzibar.

\r\n

Follow Us