- Total Visitors: 229,810
Friday, 24th April, 2026
Posted: 2026-04-22
Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar Suleiman Masoud Makame amefanya mazungumzo na Mkuregenzi wa Fedha wa kampuni ya Bytrade Tanzania Limited Mr Mbaraka Yahaya Mbalazi walipofika katika ofisi za Wizara ya kilimo maruhubi kwa ajili ya kuitambulisha biashara ya kuingiza nchini bidhaa za pembejeo , ambazo zitatoa faida kubwa kwa wakulima wa Zanzibar katika kilimo cha mazao ya mpunga ,mboga mboga na miti mikubwa kama miembe, parachichi na ndimu.
\r\nFans
Followers
Followers
Subscribers