- Total Visitors: 227,011
Wednesday, 22nd April, 2026
Posted: 2026-04-21
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Mhe. Suleiman Masoud Makame, amefungua kikao kazi cha kujadili programu ya kuliimarisha na kuendeleza zao la karafuu nchini. Kikao hicho cha pamoja kina lengo la kuongeza uzalishaji wa zao la karafuu pamoja na kuboresha mchango wake katika uchumi wa nchi . Kikao kilifanyika katika Ofisi za Kilimo Maruhubi na kimewashirikisha Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Tume ya Mipango Zanzibar. Ikiongozwa na Mshauri Elekezi, Profesa Simboje Haji,Shirika la Biashara Zanzibar (ZSTC), taasisi binafsi pamoja na wadau wa zao la karafuu.
\r\nFans
Followers
Followers
Subscribers