- Total Visitors: 190,175
Wednesday, 25th March, 2026
Posted: 2026-03-25
Afisa Nyuki kutoka Idara ya Misitu Zainab Omar Mmanga akitoa Mafunzo ya vitendo kwa Wanajamii kutoka maeneo ya Bumbwini Makoba, Kiongwe na Mafufuni Wilaya ya kaskazini "B" Unguja. Mafunzo hayo yalihusisha Ufugaji nyuki wa kisasa na kuzalisha Asali yenye sifa na uhalisia. Mafunzo hayo yalikuwa na lengo la kuimarisha uhifadhi wa Mikoko na ufugaji Nyuki wa kisasa yamefanyika Shehia ya Mwakaje na kutolewa kupitia mradi wa Pamoja Zanzibar Joint Program, yamezaminiwa na shirika la Mazingira la Kimataifa (UNEP) na kutekelezwa na ofisi ya makamu wa kwanza wa Raisi kwa mashirikiano ya Idara ya Mazingira na Idara ya Misitu
\r\nFans
Followers
Followers
Subscribers