- Total Visitors: 147,619
Friday, 20th February, 2026
Posted: 2026-02-20
Uongozi wa African Agricultural Technology Foundation (AATF) ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Dkt. Canisius Kanangire, ukiambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH), Dkt. Amos Muhunda Nungu, umekutana na Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Mhe. Suleiman Masoud Makame, kwa mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano katika sekta ya kilimo Zanzibar.
\r\nFans
Followers
Followers
Subscribers