- Total Visitors: 138,918
Friday, 13th February, 2026
Posted: 2026-02-13
Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo kupitia Mradi wa Mageuzi wa uzalishaji Ngo'mbe wa Maziwa unaozingatia mabadiliko ya tabia ya nchi, umesaini makubaliano Rasmin na wadau Chuo cha Taifa (SUZA),Jumuiya ya Wafugaji (JUMAVEZA),Wakala wa Barabara (ZanRoad),Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) na Tasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS). Hafla ya utiaji saini imefanyika Ofisi za Wizara Maruhubi na kushuhudiwa na Waziri Mhe. Suleiman Masoud Makame, Naibu Waziri Dkt. Salum Soud Hamed na Katibu Mkuu Saleh Mohamed Juma. Mradi huo unafadhiliwa na IFAD ukilenga kuboresha ufugaji wa maziwa kwa njia rafiki kwa mazingira, kuongeza uzalishaji na kuinua kipato pamoja na lishe kwa wafugaji na jamii.
\r\n\r\n\\r\\n
\r\nFans
Followers
Followers
Subscribers