Photo

Posted: 2026-02-20

KIKAO CHA KUTAMBULISHA MRADI WA (C-SDTP) KIWILAYA

Description

Msimamizi wa Mradi wa Uzalishaji wa Ng’ombe wa Maziwa kwa kuzingatia mabadiliko ya tabianchi (C-SDTP) Mkoa wa Mjini Magharibi, Ahmada Zahran Nassor, akiutambulisha mradi huo kwa wadau katika kikao kilichofanyika katika Ofisi ya Baraza la Manispaa Magharibi “B” Kwa Mchina, kilichowahusisha  maafisa Mifugo,wafugaji, wauzaji wa maziwa, wakusanyaji, wasarifu pamoja na vikundi vya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.kwa lengo la kuunda jukwaa la wadau wa sekta ya maziwa. Mradi huo unaotekelezwa Tanzania Bara na Zanzibar unalenga kujadili na kuboresha sekta ya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa nchini.

\r\n