
WAZIRI WA KILIMO, UMWANGILIAJI, MALIASILI NA MIFUGO MHE. SHAMATA SHAAME KHAMIS KWA MASHIRIKIANO NA BALOZI WA MAREKANI NA BAROZI WA KOREA WAMEZINDUA MRADI WA KILIMO CHA MBOGA MBOGA KATIKA BONDE LA KIBOKWA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA Posted: 2024-12-08
Waziri wa Kilimo, Umwangiliaji, Maliasili na Mifugo Mhe. Shamata Shaame khamis kwa Mashirikiano na Balozi wa Marekani (USAID) Michael Antony Battle na Barozi wa Korea ya kusini Eur Ju Ahn wamezindua Mradi wa Kilimo cha mboga mboga katika Bonde la Kibokwa Mkoa wa kaskazini Unguja yenye lengo la kukuza uzalishaji wa mazao ya mboga na Matunda nchini,
Ghafula hio iliyowashirikisha wakulima,wataalamu kutoka mradi wa kilimo Tija na feed the future inayotekelezwa Zanzibar na Tanzania Bara.