
KATIBU MKUU AMETIA SAINI MAKUBALIANO YA UHIFADHI WA MSITU WA JAMBIANI MUYUNI NA MKURUGENZI WA TAASISI YA ROORS & SHOOTS FREDERICK KIMARO Posted: 2022-12-14
KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO UMWANGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO SEIF SHAABAN MWINYI AMETIA SAINI MAKUBALIANO YA UHIFADHI WA MSITU WA JAMBIANI MUYUNI NA MKURUGENZI WA TAASISI YA ROORS & SHOOTS FREDERICK KIMARO KUTOKA TANZANIA YALIYOFANYIKA KATIKA OFISI ZA KILIMO MARUHUBI AMESEMA LENGO LA SEREKALI KUFIKIA HATUA ZA MAKUBALIANO YA KUUHIFADHI MSITU WA JAMBIANI MUYUNI KWA KIWANGO CHA KIMATAIFA AMBACHO KITAWEZESHA KUWA NA FAIDA KWA NCHI NA JAMII KWA UJUMLA AIDHA AMEELEZA KUWEPO KWA MISITU YA HIFADHI NI MUHIMU KWA KUWA MISITU INACHANGIA UWEPO WA VYAZO VYA MAJI, HEWA NZURI NA MAZINGIRA SALAMA KWA BINADAMU NA WANYAMA SAMBAMBA NA KUFANYA UWINDAJI WA KITALII WA WANYAMA PORI WANAOISHI KATIKA MISITU YA HIFADHI NDUGU SEIF AMESEMA ZANZIBAR INA MISITU YA HIFADHI AMBAYO INAHIFADHIWA NA WANAJAMII KWA KUSHIRIKIANA NA IDARA ZA MISITU HIVYO WAMETOWA FURSA KWA WAWEKEZAJI KUJA KUSHIRIKIANA KATIKA UTUNZAJI WA MISITU KATIKA ILIZOPO UNGUJA NA PEMBA ILI KUWEZA KUWA NA MISITU MENGINE YENYE HADHI YA KIMATAIFA BADALA YAKUWA NA MSITU MOJA TU WA JOZANI AKITOA SHUKRANI ZAKE MKURUNGENZI WA TASISI YA ROORS & SHOOTS FREDERICK KIMARO AMESEMA TAASISI INAUZOWEFU WA MUDA MREFU WA KUHIFADHI MISITU KWA KUSHIRIKIANA NA MASHIRIKA MBALIMBALI YA UHIFADHI MISITU WANAFURAHA KWA KUAMINIWA NA SEREKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUFANYAKAZI PAMOJA KATIKA KUENDELEZA USIMAMIZI WA MISITU KWA FAIDA YA JAMII NA KUKUZA UCHUMI WA NCHI AMESEMA TAASISI ITATUMIA TEKNOLOJIA ZA KISASA AMBAZO ZITATUMIKA KATIKA KUJUA HALI ZA MISITU PAMOJA NA KUIMARISHA MAZINGIRA MITI NA VIUMBE HAI INGAWA WANA KABILIWA NA CHANGAMOTO KUTOKA KWA WANAJAMII JUU ZA UELEWA WA UTUNZAJI WA MISITU HIVYO.