
WAZIRI AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MASHAMBA YA MIWA YALIYOUNGUWA MOTO.Posted: 2022-06-10
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Mheshimiwa Shamata Shaame Khamis akiangalia shamba la miwa lililoungua kwa moto katika eneo la kitope. Eneo hilo lenye hekari 112 lililoteketea kwa moto ambao chanzo chake hakijajulikana na linakadiriwa hasara iliyopatikana ni zaidi ya milioni mia saba.
Mhe. Shamata ameuwataka uongozi wa kiwanda cha mahonda kuzidsha ulinzi katika maeneo ya mashamba sambamba na kuboresha maeneo yaliyoathirika na moto ili kuendeleza kilimo cha miwa pamoja na uzalishaji wa sukari .