Latest News

Upcomming Events

UZINDUZI MPUNGA KIBOKWA-2018-07-04 08:02:35

SIKU YA MISITU DUNIANI-2018-03-22 08:40:43

USARIFU WA ZAO LA VANILA-2018-03-12 08:18:53

ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE. DR. ALI MOHAMED SHEIN-August 2017

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akishiriki katika uvunaji wa ndimu katika shamba la Ndugu Suleiman Haji, akiwa katika ziara yake ya kutembelea miradi ya maendeleo katika Mkoa wa Kusini Unguja. Mheshimiwa Dk Ali Mohamed Shein, alikaribishwa na Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifungo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid alipowasili katika mashamba ya ndimu za kumwagilia maji katika Kijiji cha Ukongoroni Mkoa wa Kusini Unguja Wilaya ya Kati akiwa katika ziara yake Mkoani humo. Mkulima wa Shamba la Midimu kwa njia ya kumwagilia maji Ndugu Suleiman Haji alitoa maelezo juu ya mafanikio anayoyapata katika kilimo hicho cha ndimu kwa kutumia umwagiliaji maji.