TANGAZO MAALUM-February 2019

WIZARA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WANAOJISHUHULISHA NA UCHIMBAJI NA USAFIRISHAJI WA MCHANGA KUWA KUANZIA TAREHE 05/02/2019 IMEFUNGA MASHIMO YOTE YA YANAYOCHIMBWA MCHANGA YAKIWEMO DONGE CHECHELE, PANGATUPU KWA UNGUJA NA SELEM, SHUMBA VIAMBONI KWA PEMBA MPAKA HAPO LITAKAPOTOLEWA TANGAZO JENGINE. AHSANTENI