MINISTRY OF AGRICULTURE, IRRIGATION, NATURAL RESOURCES AND LIVESTOCK
WAZIRI WA KILIMO, UMWAGILIAJI, MALIASILI NA MIFUGO AKIWA KWENYE KIKAO NA WADAU WA KILIMO HAI MILELE FOUNDATION
MHE. WAZIRI AKIPOKEA MIONGOZO YA LISHE BORA KWA ZANZIBAR
MHE. WAZIRI WA KILIMO AKIWA KATIKA BASKELI BAADA YA KUKABIDHI KWA VIKUNDI VYA KUKOPA NA KUWEKA
ZIARA YA KAMATI YA MAAANDALIZI YA SIKU YA WAKULIMA (NANENANE) IMEDHURU ENEO LA MAONESHO KIZIMBANI KUPATA KUONA MAAANDALIZI YA ENEO NA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU YA VIPANDO MBALIMBALI.
KATIBU MKUU WA WIZARA YA KILIMO ND. SEIF SHAABAN AKIWA NA UGENI KUTOKA SHIRIKA LA IFAD
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MH: DR. HUSSEIN ALI MWINYI AKIKATA UTEPE KATIKA UFUNGUZI WA MAONESHO YA NANE NANE 2022 DOLE KIZIMBANI ZANZIBAR
WAZIRI WA KILIMO UMWAGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO MHE: SHAMATA SHAAME KHAMIS AKITOA RISALA FUPI MBELE YA RAIS WA ZANZIBAR KATIKA UZINDUZI WA MAONESHO YA NANE NANE 2022 KATIKA VIWANJA VYA DOLE KIZIMBANI ZANZIBAR.
KATIBU MKUU WA WA KILIMO UMWAGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO NDUGU SEIF SHABAANI MWINYI AKITOA RISALA FUPI MBELE YA RAIS WA ZANZIBAR KATIKA UZINDUZI WA MAONESHO YA NANE NANE 2022 KATIKA VIWANJA VYA DOLE KIZIMBANI ZANZIBAR.
WAZIRI WA KILIMO, UMWAGILIAJI, MALIASILI NA MIFUGO.
WELCOME MESSAGE
Agriculture Sector stands second in terms of its contribution to Zanzibar GDP (MOFEA Growth Strategy Report 2006). Based on MOFEA 2006, any serious strategy for reduction of rural poverty and improvement of food security requires considerable improvement on the income of smallholder producers in agriculture related activities and thus must promote improvements in their production activities. Due to this importance, the sector has been ranked as third priority sector next to Tourism and Trade Sectors in MKUZA. Despite the potential of agricultural sectors in reduction of rural poverty being widely recognized and documented, the challenge however lies on how to support specific changes that will lead to a greater role of the sectors in the reduction of poverty. The most critical one is on how to transform smallholder subsistence agriculture into viable commercial entities.
ANNOUNCEMENTS
WIZARA YA KILIMO,UMWAGILIAJI, MALIASILI NA MIFUGO INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWEPO KWA MAONESHO YA NANE NANE 2022 KIZIMBANI ZANZIBAR
NDG. SEIF SHAABAN MWINYI
KATIBU MKUU.
WIZARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI, MALIASILI NA MIFUGO.
NEWS AND EVENTS
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE: DR. HUSSEIN ALI MWINYI AHIMIZA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUITUMIA FURSA YA MAONESHO YA NANE NANE KUTAFUTA ELIMU SAHIHI YA MATUMIZI YA ZANA ZA KISASA.
WAZIRI WA KILIMO, UMWAGILIAJI, MALIASILI NA MIFUGO APOKEA MSAADA KUTOKA FARM BASE LIMITED WA FULANA 400 NA MIPIRA KUMI YA KUSAMBAZIA MAJI KATIKA KIWANJA CHA MAONESHO YA NANE NANE 2022 DOLE KIZIMBANI
KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI, MALIASILI NA MIFUGO AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MAENEO YA UTAYARISHAJI WA MAONESHO YA NANE N ANE 2022 KIZIMBANI
WAZIRI WA KILIMO UMWAGILIAJI MALIASILI NA MIFUGO MHE. SHAMATA SHAAME KHAMIS AWATAKA WAFANYAKAZI WA MSITU WA MAUMBILE MASINGINI KUWAJIBIKA KATIKA MAJUKUMU YAO